Sasa ni semista ya pili,namshukuru mungu ninaendelea vizuri na masomo yangu ya diploma na natarajia baada ya kumaliza masomo yangu hapa udom nitaajiriwa kama mwalimu kwa ngazi ya diploma na ntaendeleza maisha yangu na familia yangu tarajiwa na mke wangu mtarajiwa MS JACKLINE,Mungu nibariki na mungu yaongoze masomo yangu.
nyakati za asubuhi naingia computer lab kwa ajili ya kupata some concepts muhimu.
mjini social mahali ambapo napata pumziko baada ya mishe mishe za masomo za siku mzima.


